Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Tazama: Kipa wa Al-Shahania afungwa baada ya sekunde 10
Tazama jinsi kipa wa klabu ya Al-Shahania Khalifa Al-Dosari alivyofanya masikhara na kufungwa goli ndani ya sekunde 10 za kwanza dhidi ya klabu ya Al Arabi katika ligi ya Qatar