Anderson Diaz: Kama Maradona kijana wa Colombia afunga bao la ajabu

Tazama kanda ya video ya Anderson Diaz akiifungia timu yake ya Colombia Norte de Santander goli kama lile la Maradona katika mechi ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 21