Tazama: Mamluki wa Wagner wenye silaha katika mitaa ya Rostov

Video zisizo za kawaida kwenye mitandao ya kijamii zinaonyesha wenyeji wakiwatazama wapiganaji wa Wagner wakiwa katika mitaa ya Rostov.

Wanajeshi hao wako karibu na makao makuu ya jeshi.