Vita vya Ukraine : Msako wa kuzitafuta boti za kifahari za Matajiri wa Urusi
Scheherazade ni mojawapo ya boti kubwa za kifahari na za bei ghali zaidi kuwahi kujengwa - ndefu kuliko uwanja wa mpira - na sehemu inayobadilika kuwa dimbwi la kuogelea.
Ripoti zinaonyesha kuwa ni mali ya Rais Putin, lakini umiliki wake wa kweli umegubikwa katika usiri.
Sasa imetia nanga nchini Italia lakini haijakamatwa na mamlaka tofauti na boti zingine za matajiri wa Urusi
Unaweza pia kusoma:

