Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Jinsi wafugaji walivyoathirika na ukame Tanzania
Jamii ya wafugaji wa kimaasi waishio kijiji cha Minduturieni wilayani bagamoyo bado wanaugulia maumivi ya ukame wa kati ya mwezi Septemba na Novemba.
Wafugaji wengi wamepoteza idadi kubwa ya mifugo na wanawasiwasi na hali yao ya chakula siku za usoni kwani wao wanategemea zaidi mifugo Eagan Salla aliwatembelea na kuandaa taarifa ifuatayo.