Covid-19: Tunachojua kuhusu Omicron na athari zake kwa Afrika

Haya ndiyo tunayojua kuhusu kirusi kipya cha Omicron kufikia sasa na jinsi kugunduliwa kwake na wanasayansi wa Afrika Kusini kulivyoathiri mahusiano ya kimataifa.