Covid-19: Tunachojua kuhusu Omicron na athari zake kwa Afrika

Maelezo ya video, Covid-19: Tunachojua kuhusu Omicron na athari zake kwa Afrika
Iliyochapishwa

Haya ndiyo tunayojua kuhusu kirusi kipya cha Omicron kufikia sasa na jinsi kugunduliwa kwake na wanasayansi wa Afrika Kusini kulivyoathiri mahusiano ya kimataifa.