Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Pyongyang; Kwa nini Korea Kaskazini inaendelea na jaribio makombora?
Licha ya kulaaniwa kimataifa, Korea Kaskazini inaendelea kujaribu makombora, ambayo mengine yanakiuka maazimio ya Baraza la Usalama la UN na yamesababisha vikwazo vikali. Kwa nini Pyongyang inaendelea na uzinduzi huu, ikiwa inakuja kwa gharama kubwa sana kwa uchumi wake?