Virusi vya corona: Je, ni mwaka au karne gani tutapata chanjo ya corona?

Zaidi ya watengenezaji chanjo 150 duniani kote, wanafanya majaribio ambayo yanaonekana kuwa na matokeo chanya mpaka sasa.