Virusi vya corona: Je, ni mwaka au karne gani tutapata chanjo ya corona?

Maelezo ya video, Je, ni mwaka au karne gani tutapata chanjo ya corona?

Zaidi ya watengenezaji chanjo 150 duniani kote, wanafanya majaribio ambayo yanaonekana kuwa na matokeo chanya mpaka sasa.