Masaibu ya nzige Kenya

Nzige limekua ni tatizo kubwa kwa wakulima katika baadhi ya maeneo nchini Kenya, huku wakulima wakihofia kuwa wadudu hao waharibifu wanaweza kusababisha njaa na umaskini. Mwandishi wa BBC Anne Soy alitembelea katika Kaunti ya Turkana kushuhusia hali ilivyo.