Masaibu ya nzige Kenya

Maelezo ya video, Nzige wa Turkana

Nzige limekua ni tatizo kubwa kwa wakulima katika baadhi ya maeneo nchini Kenya, huku wakulima wakihofia kuwa wadudu hao waharibifu wanaweza kusababisha njaa na umaskini. Mwandishi wa BBC Anne Soy alitembelea katika Kaunti ya Turkana kushuhusia hali ilivyo.