Daktari wa Wuhan aliyewapoteza wagonjwa watano usiku mmoja

BBC imezungumza na daktari ambaye amekua akipamabana na virusi vya corona katika jimbo la Hubei ambako mlipuko ulianzia.