Daktari wa Wuhan aliyewapoteza wagonjwa watano usiku mmoja

Maelezo ya video, Daktari aliyewapoteza wagonjwa watano mmoja

BBC imezungumza na daktari ambaye amekua akipamabana na virusi vya corona katika jimbo la Hubei ambako mlipuko ulianzia.