Samatta azungumzia mahusiano yake

Mshambuliaji na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta anayeichezea klabu ya KRC Genk nchini Ubelgiji akipiga soga na Salim Kikeke.