Samatta azungumzia mahusiano yake

Maelezo ya video, Samatta azungumzia mahusiano yake

Mshambuliaji na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta anayeichezea klabu ya KRC Genk nchini Ubelgiji akipiga soga na Salim Kikeke.