Kiongozi wa Myanmar Aung San Suu Kyi alikuwa nembo ya demokrasia nchini mwake

Jeshi nchini humo limeshutumiwa kutekeleza mauaji ya kimbari walipowafukuza watu wa jamii ya Rohingya 740,000.