Kiongozi wa Myanmar Aung San Suu Kyi alikuwa nembo ya demokrasia nchini mwake

Maelezo ya video, Kiongozi wa Myanmar Aung San Suu Kyi alikuwa nembo ya demokrasia nchini mwake

Jeshi nchini humo limeshutumiwa kutekeleza mauaji ya kimbari walipowafukuza watu wa jamii ya Rohingya 740,000.