Ajali Morogoro: Walioathiriwa wawatafuta wapendwa wao Morogoro

Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau ambaye yuko katika eneo la tukou anaripoti kuwa wakazi walio na hofu huenda wamepoteza wapendwa wao wamekusanyika karibu na eneo la tukio kujulia hatma ya wapendwa wao.

''Nimempigia ndugu yangu simu ambaye ni mwendesha piki piki lakini hapokei simu'' alisema mmoja wao