Kichanga chaokotwa ndani ya mfuko wa Rambo

Mtoto huyo sasa amepewa jina "Baby India" alipatikana katika jimbo la Georgia Marekani baada ya wakaazi kumsikia akilia.