Kichanga chaokotwa ndani ya mfuko wa Rambo

Maelezo ya video, Kichanga chaokotwa ndani ya mfuko wa Rambo

Mtoto huyo sasa amepewa jina "Baby India" alipatikana katika jimbo la Georgia Marekani baada ya wakaazi kumsikia akilia.