Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Je unazifahamu nyumba 10 bora zinazostaajabisha duniani?
Nyumba inapaswa kuwa nafasi takatifu: mahali unapojisikia salama, na unaweza kumpumzika mwisho wa siku ndefu - pia ni mahala ambapo tunawafurahisha marafiki, na pia panaweza kuwa, mahali pa kufanya kazi au kujifunza.