Je unazifahamu nyumba 10 bora zinazostaajabisha duniani?

Nyumba inapaswa kuwa nafasi takatifu: mahali unapojisikia salama, na unaweza kumpumzika mwisho wa siku ndefu - pia ni mahala ambapo tunawafurahisha marafiki, na pia panaweza kuwa, mahali pa kufanya kazi au kujifunza.

Ikiwa ndani ya mlima kuna kioo cha mviringo kinachokukaribisha baharini

Chanzo cha picha, architecture UK / Alamy Stock Photo

Maelezo ya picha, Ikiwa ndani ya mlima kuna kioo cha mviringo kinachokukaribisha baharini
Ukuta wa nyumba hii uliojengwa na saruji unakupatia madhari ya kisasa ya uwazi wa jangwa

Chanzo cha picha, (Credit: Ezra Stoller/Esto, Courtesy F2 Architectu

Maelezo ya picha, Ukuta wa nyumba hii uliojengwa na saruji unakupatia madhari ya kisasa ya uwazi wa jangwa
Paa la nyumba hii linaifanya kuwa na joto wakati wa baridi kuwa joto

Chanzo cha picha, Paul Bardagjy

Maelezo ya picha, Paa la nyumba hii linaifanya kuwa na joto wakati wa baridi kuwa joto
Ikiwa imejengwa juu ya mwamba, nyumba hii ya Graham imeshuka mwamba huo kwa awamu nne

Chanzo cha picha, Ezra Stoller

Maelezo ya picha, Ikiwa imejengwa juu ya mwamba, nyumba hii ya Graham imeshuka mwamba huo kwa awamu nne
Nyumba hii iliojengwa kwa kutumia mbao imejengwa ndani ya mazingira ya mteremko

Chanzo cha picha, LifePhotoWorks

Maelezo ya picha, Nyumba hii iliojengwa kwa kutumia mbao imejengwa ndani ya mazingira ya mteremko
Nyumba hii ya Bakkaflot imejengwa katika mazingira ya ardhi ilivyo na kuwacha paa likionekana pekee

Chanzo cha picha, Íris Ann

Maelezo ya picha, Nyumba hii ya Bakkaflot imejengwa katika mazingira ya ardhi ilivyo na kuwacha paa likionekana pekee
Paa la nyumba hii linafanana na ngozi ya joka kubwa

Chanzo cha picha, Jesús Granada

Maelezo ya picha, Paa la nyumba hii linafanana na ngozi ya joka kubwa
Nyumba hii inaweza kubadilisha mazingira yake kulingana na hali ya hewa

Chanzo cha picha, Christian Richters

Maelezo ya picha, Nyumba hii inaweza kubadilisha mazingira yake kulingana na hali ya hewa
Sauti ya bahari inasikika katika nyumba hii ya taifa la Chile

Chanzo cha picha, Sergio Pirrone

Maelezo ya picha, Sauti ya bahari inasikika katika nyumba hii ya taifa la Chile
Madirisha ya saruji ya nyumba hii yameongeza kawi ya jua inayooingia

Chanzo cha picha, Errol Jay Kirsch Architects

Maelezo ya picha, Madirisha ya saruji ya nyumba hii yameongeza kawi ya jua inayoingia