Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte atambaliwa na mende akitoa hotuba

Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte atambaliwa na mende akitoa hotuba.

Bw. Duterte alikuwa akihutubia umati wa watu katika mkutano wa kampeini mjini Bohol.