Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte atambaliwa na mende akitoa hotuba

Maelezo ya video, Rais atambaliwa na mende akitoa hutuba

Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte atambaliwa na mende akitoa hotuba.

Bw. Duterte alikuwa akihutubia umati wa watu katika mkutano wa kampeini mjini Bohol.