Kutana na jamaa anayeishi na mbwa 110
Kwa kawaida binadamu huishi na mbwa mmoja au wawili lakini kwa Audun na mkewe raia wa Norway wanaishi na mbwa 110. Wanandoa hawa wanasema kwamba maisha yao yameimarika pakubwa tangu walipoanza kuishi na wanyama hao mwaka wa 2017.
