Kwa picha: Watanzania wajitokeza kwa wingi kumuaga Mengi

Viongozi mbali mbali wa serikali pamoja na Watanzania wa tabaka mabli mbali wamejitokeza kuuaga mwili wa mfanyabiashara maarufu Regnald Mengi aliyefariki dunia wiki iliyopita mjini Dubai