Kwa picha: Watanzania wajitokeza kwa wingi kumuaga Mengi

Viongozi mbali mbali wa serikali pamoja na Watanzania wa tabaka mabli mbali wamejitokeza kuuaga mwili wa mfanyabiashara maarufu Regnald Mengi aliyefariki dunia wiki iliyopita mjini Dubai

Watoto wa marehemu Regnald Mengi wakiingia katika ukumbi wa Karim Jee jijini Dar es salaam kuomboleza kifo cha baba yao(nyuma aliyeshika msalaba mweupe wenye shada la maua) ni jacline Ntuyabaliwe- mjane wa Dkt. Mengi
Maelezo ya picha, Watoto wa marehemu Regnald Mengi wakiingia katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam kuomboleza kifo cha baba yao(nyuma aliyeshika msalaba mweupe wenye shada la maua) ni jacline Ntuyabaliwe- mjane wa Dkt. Mengi
Mjane wa Dkt. Mengi, Jackline Ntuyabaliwe (mwenye shada jeupe la maua lenye muundo wa msalaba) akiingia katika ukumbi wa Karim Jee kwa ajili ya kuuaga rasmi mwili wa mumewe aliyefariki dunia mjini Dubai wiki iliyopita.
Maelezo ya picha, Mjane wa Dkt. Mengi, Jackline Ntuyabaliwe (mwenye shada jeupe la maua lenye muundo wa msalaba) akiingia katika ukumbi wa Karim Jee kwa ajili ya kuuaga rasmi mwili wa mumewe aliyefariki dunia mjini Dubai wiki iliyopita.
Muombolezaji
Maelezo ya picha, Mtoto pekee wakike wa marehemu Reginald Mengi, Regina akiingia ukumbini na picha ya baba yake.
Rais wa Tanzania John Pombe Maguguli ( kati kati) akiongoza waombolezaji kuuaga mwili wa Dkt Regnald Mengi aliyefariki dunia mjini Dubai tarehe 02/05/2015
Maelezo ya picha, Rais wa Tanzania John Pombe Maguguli ( kati kati) akiongoza waombolezaji kuuaga mwili wa Dkt Regnald Mengi aliyefariki dunia mjini Dubai tarehe 02/05/2015
Mjane wa marehemu Reginald Mengi akiweka shada la maua juu ya jeneza
Maelezo ya picha, Mjane wa marehemu Reginald Mengi akiweka shada la maua juu ya jeneza
Jeneza lililoubeba mwili wa Dkt. Reginald Mengi likiingizwa katika ukumbi wa Karimjee
Maelezo ya picha, Jeneza lililoubeba mwili wa Dkt. Reginald Mengi likiingizwa katika ukumbi wa Karimjee
Picha ya Regnald Mengi ilitundikwa kwenye ukumbi wa karimjee kwa ajili ya maombolezo
Maelezo ya picha, Picha ya Regnald Mengi ilitundikwa kwenye ukumbi wa Karimjee kwa ajili ya maombolezo
Waombolezaji wakilitazama jeneza lililoubeba mwili wa marehemu Reginald Mengi likiingizwa ndani ya ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam
Maelezo ya picha, Waombolezaji wakilitazama jeneza lililoubeba mwili wa marehemu Reginald Mengi likiingizwa ndani ya ukumbi wa Karimjee
Jeneza Mwili wa marehemu Reginald Mengi ukiingizwa kwenye ukmbi wa Karimjee kupewa heshma za mwisho
Maelezo ya picha, jeneza la mwili wa marehemu Dkt. Reginald Mengi ukiingizwa kwenye ukmbi wa Karimjee kupewa heshima za mwisho
Jeneza Mwili wa marehemu Reginald Mengi ukiingizwa kwenye ukmbi wa Karim Jee kupewa heshma za mwisho
Maelezo ya picha, Jeneza la mwili wa marehemu Dkt. Reginald Mengi ukiingizwa kwenye ukmbi wa Karimjee kupewa heshma za mwisho
Waombolezaji
Maelezo ya picha, Waombolezaji
Wanawake waliovalia mavazi meusi, Ni huzuni na majonzi vilivyotawala miongoni mwa waliofika kwenye shughuli ya kuuaga mwili wa Regnald Mengi
Maelezo ya picha, Ni huzuni na majonzi vilivyotawala waliofika kwenye shughuli ya kuuaga mwili wa Regnald Mengi
Waombolezaji
Maelezo ya picha, Waombolezaji
Jeneza Mwili wa marehemu Reginald Mengi ukiingizwa kwenye ukumbi wa Karim Jee kupewa heshma za mwisho
Maelezo ya picha, Jeneza lenye mwili wa Reginald Mengi likiingizwa ukumbini.
Viongozi mbali mbali nchini Tanzania wakisikiliza hotba wakati wa maombolezo katika ukumbi wa Karim Jee jijini Dar es salaam
Maelezo ya picha, Viongozi mbali mbali nchini Tanzania wakisikiliza hotuba wakati wa maombolezo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam