Unafahamu kuna ugonjwa wa kupatwa na uzingizi wa ghafla?

Kulala ni jambo la kawaida, lakini utamchukulia vipi mtu anapopatwa na usingizi wa ghafla. Hili ni tatizo la kiafya linalojulikana kama Narcolepsy. Makala ya Maisha kutoka BBC inaangazia hali yenyewe.