Habari picha: Kisiwa cha Kilwa kilitengeneza Sarafu ya Kwanza Afrika Mashariki

kasri
Maelezo ya picha, Jumba la kale lililokuwa na vyumba 100

Historia ni mwalimu mzuri, huko katika kisiwa cha Kilwa kuna wakati ilikuwa dola inayojitawala na kusifika kwa utajiri, lakini sasa eneo hilo ni mji katika mkoa wa Lindi ulioko kusini mwa Tanzania.

Sarafu ya kwanza Afrika mashariki na kati

Chanzo cha picha, Bodi ya Utalii Tanzania

Maelezo ya picha, Sarafu ya kwanza Afrika mashariki na kati
jengo

Magofu ya kilwa ni maeneo machache sana duniani, eneo hili ni kielelezo tosha kuwa Afrika mashariki ilikuwa ikijihusisha sana na shughuli za kibiashara kimataifa.

Msikiti mkuu ambao umejengwa juu ya jengo lingine chini
Maelezo ya picha, Msikiti mkuu ambao umejengwa juu ya jengo lingine chini
Muonekano wa ndani wa msikiti
Maelezo ya picha, Muonekano wa ndani wa msikiti
kilwa
MSIKITI
Kisima kirefu ambacho kilikuwa kinatumika kama njia ya chini kwa chini
Maelezo ya picha, Kisima kirefu ambacho kilikuwa kinatumika kama njia ya chini kwa chini
MM