Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Asilimia tatu ya wakaazi wa Birmingham hutumia baiskeli
Utawala wa Mji wa Birmingham unataka 5% ya safari za kuelekea mjini zifanywe kutumia baiskeli kufikia mwaka wa 2023.
Kwa sasa 3% ya safari hizo ni za baiskeli. Je, ungependelea kutumia baiskeli kama njia ya usafiri? Sema nasi kwenye ukurasa wa facebook, bbcnewsSwahili.