Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
‘Blaze’: Je unadhani una kasi zaidi ya mtoto huyu?
Rudolph ‘Blaze’ Ingram, mwenye umri wa miaka 7 hivi sasa alianza kukimbia akiwa na miaka mitatu pekee baada ya kuangalia mashindano ya Olimpiki na babake. Kasi yake kwa sasa anapokimbia mbio za 100m ni sekundi 13,48 tu.