Walemavu nchini Kenya washerehekea siku ya Valentines

Hawa ni baadhi ya watu wanaoishi na ulemavu mmoja au mwengine nchini Kenya, lakini hilo halijakuwa kikwazo maishani mwao kwani wamejumuika pamoja kuadhimisha siku ya Valentines