Walemavu nchini Kenya washerehekea siku ya Valentines

Hawa ni baadhi ya watu wanaoishi na ulemavu mmoja au mwengine nchini Kenya, lakini hilo halijakuwa kikwazo maishani mwao kwani wamejumuika pamoja kuadhimisha siku ya Valentines

Wanakabiliwa na ulemavu wa ngozi lakini hilo halijawanyima nafasi ya kuonesha urembo wao
Maelezo ya picha, Wanakabiliwa na ulemavu wa ngozi lakini hilo halijawanyima nafasi ya kuonesha urembo wao.
mmoja wa wageni waliyo hudhuria hafla hiyo
Maelezo ya picha, Tabasamu la kusema usijinyime raha kwa kuwa huna uwezo wa kutumia miguu yako.
Mojawapo ya Changamoto kuu inayowakabili watu wenye ulemavu ni kumpata mtu mtu atakayewapenda jinsi walivyo
Maelezo ya picha, Changamoto kuu inayowakabili watu wenye ulemavu ni kumpata mtu atakayewapenda jinsi walivyo.
Baadhi ya wageni waalikwa walijumuika na pamoja na walemavu kusherehekea siku la valentines
Maelezo ya picha, Baadhi ya wageni waolikwa walijumuika na pamoja na walemavu kusherehekea siku ya valentines.
Kinamama walivalia mavazi ya rangi nyekundu kuashiria mapenzi
Maelezo ya picha, Kinamama walivalia mavazi ya rangi nyekundu kuashiria mapenzi.
Baadhi ya walemavu wanahisi kuwa wengi wa watu wanawapenda kupitia kile kitu walichonacho, lakini sio mapenzi ya kutoka kwa moyo
Maelezo ya picha, Baadhi ya walemavu wanahisi kuwa watu wanawapenda kupitia kile kitu walichonacho, lakini sio mapenzi ya kutoka kwa moyo.
Mmoja kati ya wapenzi hawa hana ulemavu lakini wanakiri kuwa unyanyapaa kutoka kwa watu ambao wana viungo vyote bado ni changamoto kwao
Maelezo ya picha, Mmoja kati ya wapenzi hawa hana ulemavu lakini wanakiri kuwa unyanyapaa kutoka kwa watu ambao wana viungo vyote bado ni changamoto kwao
Mmjo wa wageni akifuatilia mambo katika simu yake ya mkononi

Chanzo cha picha, Moses Oyugi

Maelezo ya picha, Mmjo wa wageni akifuatilia mambo katika simu yake ya mkononi.
Kila mwaka tarehe 14 Mwezi Februariwatu kote duniani wanasherehekea siku ya wapendanao waandalizi wa hafla hii walilenga kuweka tabasabu nyusoni mwa watu wenye ulemavu msimu huu wa mahaba

Chanzo cha picha, Moses Oyugi

Maelezo ya picha, Kila mwaka tarehe 14 Mwezi Februari watu kote duniani wanasherehekea siku ya wapendanao. waandalizi wa hafla hii walilenga kuweka tabasabu nyusoni mwa watu wenye ulemavu msimu huu wa mahaba.
Josephita Mukhobe, katibu katika wizara ya mipango maaluni nchini Kenya anakata keki ya kuadhimisha siku ya Valentines

Chanzo cha picha, Moses Oyugi

Maelezo ya picha, Josephita Mukhobe, katibu katika wizara ya mipango maalum nchini Kenya, anakata keki ya kuadhimisha siku ya Valentines.
Antony Mureithi na mke wake
Maelezo ya picha, Antony Mureithi,46 alipatwa na ugonjwa wa kupooza akiwa na miaka miwili hali ambayo ilimkosesha uwezo wake wa kutembea.