Sibahle Zwane: Mtoto bingwa wa maswali ya hesabu kutoka Afrika Kusini

Maelezo ya video, Sibahle Zwane: Mtoto bingwa wa maswali ya hesabu kutoka Afrika Kusini

Sibahle Zwane mwenye umri wa miaka 10 ni gwiji wa hisabati na amejizolea umaarufu sana katika mitandao ya kijamii.

Alianza kufahamika alipopigwa video na polisi akitoa majibu ya maswali magumu ya hesabu.

Mwandishi wa BBC Pumza Fihlani alimtembelea kubaini iwapo ni kweli ana uwezo huo wa kipekee.

Unaweza kusoma pia: