Mtoto aliyebuni programu ya mchezo wa kompyuta Tanzania
Ethanman, mtoto shujaa anayeweza kuwaokoa watoto wengine, mbaye amebuni programu ya mchezo wa kompyuta inayobeba uhusika wake mwenyewe.
Mtoto huyu mwenye umri wa miaka 8 sasa , alibuni programu hiyo akiwa na miaka 6.
Mwandishi wa BBC,Esther Namuhisa ametuandalia taarifa ifuatayo.
Video: Eagan Salla