Kareem Waris Olamilekan ana kipaji cha uchoraji na ndoto kubwa Nigeria

Maelezo ya video, Kareem Waris Olamilekan ana kipaji cha uchoraji na ndoto kubwa Nigeria

Kareem Waris Olamilekan ni mtoto mchoraji Nigeria aliyepata ushawishi kutoka kwa wasanii maarufu duniani kama Michelangelo. Ameileza BBC kuhusu safari yake ya uchoraji