Utafiti: Kinyesi cha mtoto kina virutubisho vingi kiafya hasa ukiongeza kwenye sharubati

Utafiti umebainisha kwamba sharubati ya matunda au maziwa ya mgando yaliyowekwa kinyesi cha mtoto ni kizuri kwa afya na husaidia mtu kutopata magonjwa kama saratani na kisukari.

Unaweza kusoma pia: