Wanawake watano wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani

Mwanasayansi Marie Curie amepigiwa kura kuwa mwanamke ambaye amekuwa na ushawishi mkubwa katika historia ya dunia kulingana na kura ya BBC.