Wanawake watano wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani

Maelezo ya video, Wanawake watano wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani

Mwanasayansi Marie Curie amepigiwa kura kuwa mwanamke ambaye amekuwa na ushawishi mkubwa katika historia ya dunia kulingana na kura ya BBC.