Richard Turere amevumbua mwanga unaowafukuza simba Kenya
Richard Turere mwenye umri wa miaka 18 sio mchungaji wa wanyama wa kawaida kutoka jamii ya Maasai . Akiwa na miaka 11, alivumbua mbinu ya aina yake ya kuwafukuza simba wasiwaua ng'ombe na mbuzi wa familia yake Kenya. Walikuwa wakiwapoteza mifugo 9 kwa wiki.
Hii ni sehemu ya makala ya BBC kuhusu uvumbuzi iliyofadhiliwa na wakfu wa Bill na Melinda Gates
