Kwa picha: Uchaguzi wa Zimbabwe ulivyoshuhudia umati mkubwa wa wapiga kura.

Milolongo mirefu imeshuhudiwa katika vituo vya kupigia kura, kwenye uchaguzi ambao chama cha upinzani kinatarajia ushindi dhidi ya chama cha ZANU PF ambacho kimeitawala Zimbabwe tangu ijipatie uhuru

Wapiga kura nchini Zimbabwe

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Wapiga kura nchini Zimbabwe
Nelson Chamisa

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Nelson Chamisa ana matumaini ya kuwa rais wa mdogo wa Zimbabwe
Emmerson Mnangagwa

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Rais Emmerson Mnangagwa anajaribu kuijenga upya Zimbabwe
Mama akiwa na mtoto wake mgogoni akipiga kura yake nchini Zimbabwe akiwa na tabasamu usoni

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Mama akiwa na mtoto wake mgogoni akipiga kura yake nchini Zimbabwe
Kituo cha kupia kura
Maelezo ya picha, Kituo cha kupigia kura eneo la Kotwa Mudzi Karibu na mpaka wa Zimbabwe na Msumbiji .
Tume ya uchaguzi ya Zimbabwe
Maelezo ya picha, Maafisa wa tume ya uchaguzi nchini Zimbabwe wakihakikisha kila mpiga kura vyeti vyake vinatibitishwa.
Ulinzi katika vituo vya kupigia kura
Maelezo ya picha, Ulinzi umeimarishwa katika vituo vya uchaguzi nchini Zimbabwe