Watanzania wanawakumbuka Maria na Consolata wakitarajiwa kuzikwa Jumatano Tosamaganga

Watanzania wanawakumbuka pacha hao waliofariki kwa matumaini, uvumilivu waliokuwa nao, na kwamba hawakuwahi kukata tamaa katika maisha yao ya miaka 21.