Watanzania wanawakumbuka Maria na Consolata wakitarajiwa kuzikwa Jumatano Tosamaganga

Watanzania wanawakumbuka pacha hao waliofariki kwa matumaini, uvumilivu waliokuwa nao, na kwamba hawakuwahi kukata tamaa katika maisha yao ya miaka 21.

Kifo cha pacha walioungana Maria na Consolata kimewahuzunisha wengi nchini Tanzania, huku baadhi wakionekana katika mitandao ya kijamii wakiwakimbuka kwa matumaini, uvumilivu, na kutokata tamaa waliodhihirisha katika maisha yao ya miaka 21.
Maelezo ya picha, Kifo cha pacha walioungana Maria na Consolata kimewahuzunisha wengi nchini Tanzania, huku baadhi wakionekana katika mitandao ya kijamii wakiwakimbuka kwa matumaini, uvumilivu, na kutokata tamaa waliodhihirisha katika maisha yao ya miaka 21. Wanatarajiwa kuzikwa Jumatano kwenye makaburi ya watawa wa shirika la Maria na Consolata huko Tosamaganga.
Miguu yao ilikuwa imechukua sehemu kubwa ya mwili, walikuwa na vichwa viwili, mioyo miwili na mikono minne na walikuwa wanatumia viongo vingine kwa pamoja kama tumbo,ini, sehemu ya uke na haja.
Maelezo ya picha, Miguu yao ilikuwa imechukua sehemu kubwa ya mwili, walikuwa na vichwa viwili, mioyo miwili na mikono minne na walikuwa wanatumia viongo vingine kwa pamoja kama tumbo,ini, sehemu ya uke na haja.
Rais wa Tanzania John Magufuli alituma risala zake za rambi rambi kufuatia kufariki kwa pacha Maria na Consolata ambaye kwa wakati mmoja aliwatembelea hosiptalini walikokuwa wanapokea matibabu

Chanzo cha picha, Ikulu Tanzania

Maelezo ya picha, Rais wa Tanzania John Magufuli alituma risala zake za rambi rambi kufuatia kufariki kwa pacha Maria na Consolata ambaye kwa wakati mmoja aliwatembelea hosiptalini walikokuwa wanapokea matibabu
Maria na Consolata walikuwa katika maisha yenye matumani na walitamani siku moja kuwa walimu na waliweza kuingia chuo kikuu kusomea masomo ya ualimu. Awali mmoja alipenda kuwa daktari na mwingine kuwa sista lakini badae wote wakapenda kuwa walimu.
Maelezo ya picha, Maria na Consolata walikuwa katika maisha yenye matumani na walitamani siku moja kuwa walimu na waliweza kuingia chuo kikuu kusomea masomo ya ualimu. Awali mmoja alipenda kuwa daktari na mwingine kuwa sista lakini badae wote wakapenda kuwa walimu.
Katika maisha yao kutegemeana ndio jambo kubwa, na kawaida. Kwa mfano Maria akitaka kwenda chooni atamjulisha mwenzie na vivyo hivyo kwa Consolata.
Maelezo ya picha, Katika maisha yao kutegemeana ndio jambo kubwa, na kawaida. Kwa mfano Maria akitaka kwenda chooni atamjulisha mwenzie na vivyo hivyo kwa Consolata.
Maisha yao yalikuwa ya neema kutokana na mazingira waliyokulia na wanafunzi wenzao waliona kuwa watoto hao walikuwa chachu katika jamii kutowatenga watoto walemavu.
Maelezo ya picha, Maisha yao yalikuwa ya neema kutokana na mazingira waliyokulia na wanafunzi wenzao waliona kuwa watoto hao walikuwa chachu katika jamii kutowatenga watoto walemavu.