Unashiriki kupunguza uhaba wa damu Tanzania?

Katika Haba na Haba, tunaangazia utoaji wa damu. Je, unashiriki vipi kupunguza uhaba wa damu nchini Tanzania?