Unashiriki kupunguza uhaba wa damu Tanzania?

Maelezo ya sauti, Unashiriki kupunguza uhaba wa damu Tanzania?

Katika Haba na Haba, tunaangazia utoaji wa damu. Je, unashiriki vipi kupunguza uhaba wa damu nchini Tanzania?