Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
'Rhino Power' kutoka Kenya anatafuna misumari na kuvuta magari kwa kutumia meno yake
Patrick Chege Kariuki amepata umaarufu Kenya kwa kuwa mtu mwenye nguvu kubwa kutokana vituko vyake vya hatari. 'Rhino Power' kama anvyojulikana kwa umaarufu nchini Kenya, anatafuna misumari na kuvuruta magari kwa kutumia meno yake.