'Mamito' mchekeshaji nchini Kenya afunguka kuhusu ucheshi wake

‘Mara yangu ya kwanza kukwea jukwaani hakuna aliyecheka, waliniangalia tu!’

Mcheshi wa kike kutoka Kibera Kenya 'Mamito' afunguka kuhusu ucheshi wake.