Kwa Picha: Safari ya Odinga ya kwenda kuapishwa

Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga amekuwa akisisitiza kwamba ataendelea na mpango wake wa kuapishwa kuongoza Kenya baada yake kutangaza kwamba hamtambui Bw Uhuru Kenyatta kama kiongozi aliyechaguliwa kwa njia halali.