Kwa Picha: Safari ya Odinga ya kwenda kuapishwa

Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga amekuwa akisisitiza kwamba ataendelea na mpango wake wa kuapishwa kuongoza Kenya baada yake kutangaza kwamba hamtambui Bw Uhuru Kenyatta kama kiongozi aliyechaguliwa kwa njia halali.

Tarehe 5 mwezi Agosti, kiongozi wa upinzani Raila Odinga akiwapungia wafuasi wake alipowasili Uhuru Park wakati wa kampeni za mwisho kabla ya uchaguzi

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Tarehe 5 mwezi Agosti, kiongozi wa upinzani Raila Odinga akiwapungia wafuasi wake alipowasili Uhuru Park wakati wa kampeni za mwisho kabla ya uchaguzi
Kampeni za mwisho akiwa na mgombea mwenza wa Kalonzo Musyoka(kushoto), na wanachama wa NASA Musalia Mudavadi (Kulia mwisho) na Moses Wetangula(kushoto mwisho)

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Kampeni za mwisho akiwa na mgombea mwenza wa Kalonzo Musyoka(kushoto), na wanachama wa NASA Musalia Mudavadi (Kulia mwisho) na Moses Wetangula(kushoto mwisho)
Tarehe 8 Agosti, Raila Odinda alipiga kura katika kituo cha kupiga kura katika shule ya msingi ya Old-Kibera.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Tarehe 8 Agosti, Raila Odinda alipiga kura katika kituo cha kupiga kura katika shule ya msingi ya Old-Kibera.
Agosti 9, 2017 matokeo walionesha Uhuru Kenyatta kuongoza. Lakini Muungano wa upinzani Kenya uliendelea kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais yaliyokuwa yanatangazwa na tume ya uchaguzi kwenye mtandao wake.Walidai kulkuwa na udukuzi.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Agosti 9, 2017 matokeo walionesha Uhuru Kenyatta kuongoza. Lakini Muungano wa upinzani Kenya uliendelea kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais yaliyokuwa yanatangazwa na tume ya uchaguzi kwenye mtandao wake.Walidai kulkuwa na udukuzi.
Viongozi wa muungano wa National Super Alliance walikutana na wakuu wa Tume ya Uchaguzi Kenya na kuwasilisha rasmi malalamiko yao kupitia barua. Walidai kwamba tume ingefaa kumtangaza Odinga kuwa mshindi wa urais

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Viongozi wa muungano wa National Super Alliance walikutana na wakuu wa Tume ya Uchaguzi Kenya na kuwasilisha rasmi malalamiko yao kupitia barua. Walidai kwamba tume ingefaa kumtangaza Odinga kuwa mshindi wa urais
Agost 13,2017: Raila Odinga, aliwashwafuasi wake kususia kazi kama njia ya kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Agost 13,2017: Raila Odinga, aliwashwafuasi wake kususia kazi kama njia ya kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika
Agosti 16, 2017 : Katika ofisi za Muungano wa upinzani Kenya,Raila Odinga alitangaza kwamba atapeleka mashtaka yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi. Pia aliwasihi wafuasi wa chama kuandamana kwa siku ilifuata

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Agosti 16, 2017 : Katika ofisi za Muungano wa upinzani Kenya,Raila Odinga alitangaza kwamba atapeleka mashtaka yake ya kupinga matokeo ya uchaguzi. Pia aliwasihi wafuasi wa chama kuandamana kwa siku ilifuata
Raila akiwa mahakama kuu na mgombea mwenza Kalonzo Musyoka. Mahakama Kuu iliweka historia kwa kufuta matokeo ya uchaguzi na kuagiza marudio

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Raila akiwa mahakama kuu na mgombea mwenza Kalonzo Musyoka. Mahakama Kuu iliweka historia kwa kufuta matokeo ya uchaguzi na kuagiza marudio
Oktoba,20 2017: Raila Odinga, akizungumza na wafuasi wake baada ya kujiondoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Oktoba 26.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Oktoba,20 2017: Raila Odinga, akizungumza na wafuasi wake baada ya kujiondoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Oktoba 26.
Novemba 28 2017: Raila ahotubia wafuasi wake katika eneo la Umoja ,baada ya kushindwa kufanya mkutano sambamba siku ambayo rais Uhuru Kenyatta alikuwa akiapishwa.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Novemba 28 2017: Raila ahotubia wafuasi wake katika eneo la Umoja ,baada ya kushindwa kufanya mkutano sambamba siku ambayo rais Uhuru Kenyatta alikuwa akiapishwa.